ForumCC ni asasi mwamvuli wa kitaifa wa asasi za kiraia zinazoshughulika na kupunguza athari za Mabadiliko ya Tabia nchi kwa kushirikiana na wanachama wake. Kipekee tunachukua fursa hii kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – John Pombe Magufuli