Category: Publication
Year: 2016

Review

FORUMCC ni mtandao wa kitaifa wa asasi za kiraia zinazofanya shughuli zake katika masualayanayohusiana na Mabadiliko ya Tabianchi. FORUMCC ina wanachama katika mikoa yote ya Tanzania na inafanya shughuli zake katika maeneo makuu matatu, kama yafuatayo:
• Kuimarisha uwezo wa asasi za kiraia na jamii kufanya shughuli zinazochangia kuhimili na kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi katika uchumi na jamii.
• Utafiti na Uchambuzi wa Sera zinazohusiana na Mabadiliko ya Tabianchi ili kutoa taarifa na ushahidi wa kushiriki katika masuala ya kuhimili na kabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
• Ushawishi, utetezi na ushikiri katika michakato ya sera na bajeti unayohusiana na kuhimili na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika ngazi ya jamii, taifa na kimataifa.

Files:
(0 votes)
Date 2017-03-18
File Size 2.97 MB
Download 459

Date insert: