Category: Publication
Year: 2017

Review

Dondoo muhimu za msimu wa mvua za Masika kipindi cha Machi-Mei 2017.

Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa msimu wa mvua katika kipindi cha Machi - Mei 2017,ushauri na tahadhari kwa wadau wa sekta mbali mbali wanaohitaji taarifa za hali ya hewa katika utekelezaji wa majukumu yao kama vile kilimo na usalama wa chakula, mifugo na wanyamapori, maliasili na utalii, nishati na maji, mamlaka za miji, afya pamoja na menejimenti za maafa. Kwa muhtasari, mwelekeo huo na athari zake unaonesha kuwa..

Files:
Date 2017-03-18
File Size 620.1 KB
Download 104

Date insert: